Msanii wa miondoko ya hip hop nchini Afande Sele hapo usiku wa jana
alipata pigo kubwa la kufiwa na mzazi mwenzake (mke wake) akizungumza
na Mwarick blog Afande Sele alisibitisha kifo cha mke wake
huyo na kusema "KWELI NIMEFIWA NA MKE WANGU USIKU HUU HATA SIELEWI
TATIZO NINI" Alisema Afande huku akilia kwa uchungu.
Kutokana na kanuni za Dini ya KIislam maherehemu amezikwa leo huko mkoani Morogoro.
"Timu nzima ya Mwarick blog inatoa pole kwa wafiwa wote walio kutwa na msiba huo"
TAZAMA PICHA ZA MSIBA HUO HAPA
ASANTE KWA KUWA NASI
No comments:
Post a Comment